Vuka ngambo ya jaribu
Jivushe ngambo ya jaribu ngaombo ya mapito mbali mbali unayo pitia katika maisha ya kila siku. siku za utoto wangu nilifikiri kama niliye ishi katika maisha duni sana, hasa hali sa wazazi wangu kiuchumi silinishuhudia bayana kuwa nimtoto dhaifu zana hata kwenye makundi ya watoto niliyo cheza nao. hali hii ilinisumbua sana akili yangu, na kadri nlivyo endelea kukua niliwaza nakupanga kwamba nilitakiwa nijikimu kiuchumi mapema ili maisha yangu yapate furaha. na baadae nilipo pata umri wakujihimiza kujikimu kifedha, nilifanya hivyo, kama kijina mbio yangu ilikuwa kubwa sana japokuwa ufanisi sikuupata kama nilivyo weza kupanga, katika mapito yangu tafuta uchumi epuka umasikini, nikajifunza mambo mengi sana dunia, wazazi wangu walinilea mtoto wakawaida kiimani na kiitikadi kwamaana mbali mbali kwamba sikufunzwa kuwa na imani madubuti wala mkakati endelevu katika maisha ama elimu, nililelewa nikakua nikakutana na ugumu wa maisha. mapito ya uchumi yakaanza kuwa mwalimu wangu, na si...