Machapisho

Kawamu Record Label

Vuka ngambo ya jaribu

 Jivushe ngambo ya jaribu ngaombo ya mapito mbali mbali unayo pitia katika maisha ya kila siku.  siku za utoto wangu nilifikiri kama niliye ishi katika maisha duni sana, hasa hali sa wazazi wangu kiuchumi silinishuhudia bayana kuwa nimtoto dhaifu zana hata kwenye makundi ya watoto niliyo cheza nao. hali hii ilinisumbua sana akili yangu, na kadri nlivyo endelea kukua niliwaza nakupanga kwamba nilitakiwa nijikimu kiuchumi mapema ili maisha yangu yapate furaha. na baadae nilipo pata umri wakujihimiza kujikimu kifedha, nilifanya hivyo, kama kijina mbio yangu ilikuwa kubwa sana japokuwa ufanisi sikuupata kama nilivyo weza kupanga, katika mapito yangu tafuta uchumi epuka umasikini, nikajifunza mambo mengi sana dunia, wazazi wangu walinilea mtoto wakawaida kiimani na kiitikadi kwamaana mbali mbali kwamba sikufunzwa kuwa na imani madubuti wala mkakati endelevu katika maisha ama elimu, nililelewa nikakua nikakutana na ugumu wa maisha. mapito ya uchumi yakaanza kuwa mwalimu wangu, na si...
A certain situation can determine something in your life? If having a certain amount of money, is it enough to guide you to take some steps in life? As for having a lover apart from your life partner, can this situation lead you to throw away your previous plans? So if this situation happens in your life and you succeed in canceling your previous plans, then know that it is very difficult to succeed in your successful efforts. Mwalimu Wa Kiroh/Spiritual teacher, we have done a great investigation since we started teaching and praying for those with various disabilities, and we discovered conflicting situations of success and godliness. What was discovered in a small study of a spiritual teacher is that not everyone is troubled by the spirits of destruction, but there is a situation where a person does not manage his way sufficiently, or a person lacks firm decisions in his ways. We can say that if this situation finds you, the answer is that you have already lost everything. #kaributuk...